Nickson Kisinga

@kingson

Business · Duniani

Founder : Building digital products, infrastructure & ecosystems that solve real problems, connect people and scale across borders...⚡MastaOS.

9 Followers22 Following

Featured

MastaCloud Storage

Links

Posts

•••

WHEN GOD IS PREPARING TO LEAD YOU INTO A NEW SEASON, THESE THREE THINGS MAY HAPPEN FIRST. #bible 🎥 : Amazing Grace Life

•••

PVPC SERIES | SOMO 04 P = BEI Umemwambia mteja unauza nini. Umemwonyesha Thamani anayopata. Sasa kuna swali ambalo karibu kila mnunuzi atajiuliza: “Ni bei gani?” Hapa ndipo Bei inaingia. Bei si namba tu. Bei ni sehemu ya taarifa ambayo mteja anahitaji …

•••

Shout-out kwa @pm17 👋⚡ Karibu sana ACLOZO, Philipo Marco! Tunafurahi kuwa nawe kama mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kujiunga na network hii. Hapa tunajenga, tunashare, tuna-connect na tunafungua opportunities pamoja. Karibu nyumbani, @pm17. Safari ndiyo ina…

•••

Karibu sana ACLOZO, @andrewmasanja 👋⚡ Tunafurahi kukuona ukiwa sehemu ya watu wanaoanza kujenga community hii tangu mapema. ACLOZO ni mahali pa kujenga, kushare, ku-connect na kukua pamoja. Karibu nyumbani, Double A Masanja. Hii ni network yako pia. 🔥 Wana…

•••

Shout-out kwa @musicbrainstudios 👋🎶⚡ Karibu sana ACLOZO! Ni furaha kuwa na Joseph Mutta pamoja nasi kama mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kwenye network hii. Hapa tunajenga identity, tunashare kazi zetu, tuna-connect na tunakua pamoja. Karibu nyumbani, @musi…

•••

Karibu ACLOZO, @saby 👋⚡ Tunafurahi kukuona ukiwa sehemu ya community hii mapema kabisa. Hapa tunakutana, tunashare tunachojenga, tuna-connect na tunasaidiana kukua. Karibu nyumbani, @saby. Tunafurahi kuwa nawe kwenye safari hii. 🔥 Wana ACLOZO, tumfollow na…

•••

Shout-out kwa @paulbrave 👋⚡ Karibu sana ACLOZO! Tunafurahi kuwa nawe kama mmoja wa watu wa mwanzo kabisa kujiunga na network hii. Hapa tunajenga, tunashare, tuna-connect na tunakua pamoja. Karibu nyumbani, @paulbrave. Hii ni network yako pia. 🔥 Wana ACLOZ…

•••

Shout out kwa @nickyrabit 👋⚡ Karibu sana ACLOZO. Tunafurahi kukuona ukiwa sehemu ya network hii mapema kabisa. Hapa tunajenga, tunashare, tuna-connect na tunakua pamoja. Karibu nyumbani, @nickyrabit. 🔥 Wengine pia mfuateni na mkaribisheni. 🤝

•••

PVPC SERIES | SOMO 03 V = VALUE (THAMANI) Kumwambia mteja unauza nini ni mwanzo mzuri. Lakini haitoshi. Baada ya kuelewa product yako, swali linalofuata kichwani mwa mteja ni: “Hii itanisaidiaje?” Hapo ndipo Value inaanza. Mteja mara nyingi hanunui prod…

•••

Kwa sasa bado ni rahisi kuona PVPC Series. Kadri watu watakavyoongezeka na posts zitakavyokuwa nyingi, feed itakuwa busy zaidi — na itakuwa rahisi kupitwa na masomo yanayofuata. Kama unataka kufuatilia PVPC hatua kwa hatua: Fungua profile yangu kisha bonyez…

•••

PVPC SERIES — SOMO 02 P = PRODUCT (BIDHAA) Kabla hujamwambia mteja bei, faida au namna ya kuagiza, lazima kwanza aelewe unauza nini. Post nyingi za biashara zinaanza hivi: ❌ “Stock mpya imefika 🔥” ❌ “Tunapatikana leo.” ❌ “Karibuni sana wateja wetu.” Tatiz…

Create your own ACLOZO profile

One public profile for who you are, what you do and where people can reach you.

Create Your Profile